Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, Desemba 17, 2025. Balozi Njenga alifika Ikulu kumuaga Rais Dkt. Samia baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili kuimarisha uhusiano …