WJeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kilimanjaro limesema kuwa watoto wawili wa miaka 4 na 2 wamefariki dunia baada ya moto kuteketeza nyumba waliyokuwa wakiishi katika Mtaa wa Katanini, Kata ya Katanini, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Akizungumza nyumbani hapo, Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomaji amesema watoto hao kuwa ni …