MBUNGE NCHINI MAREKANI AVUTIWA NA UZURI WA TANZANIA

HABARI PICHA: Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameendelea kufanya mikutano na viongozi na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza na kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Marekani. Miongoni mwa Viongozi hao ni Dkt. Ronny L. Jackson, Mwanachama wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge la Wawakilishi la […] The post MBUNGE NCHINI MAREKANI AVUTIWA NA UZURI WA TANZANIA appeared first on Jambo TV Online .