Tanzania yajibu zuio la Marekani

Serikali imesisitiza kuwa zuio hilo si kamili, na kwamba Watanzania watakaokidhi vigezo wataendelea kupewa ruhusa ya kuingia Marekani