Wanafunzi 686 wakatisha masomo CUoM sababu zatajwa
Imeelezwa kuwa jumla ya wanafunzi 686 wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mbeya (CUoM), wameshindwa kuhitimu masomo yao kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo za vifo, utoro na kushindwa kutimiza vigezo vya kitaaluma.