Wakulima ‘wang’atwa sikio’ uzingatiaji kilimo cha kisasa
Imeelezwa kuwa uzingatiaji wa matumizi ya sayansi na teknolojia za kisasa katika kilimo utawasaidia wakulima nchini kupata mazao bora, kuongeza tija na hatimaye kuchochea mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo.