Wataalam sekta ya ardhi waoneshwa fursa Dira 2050

Washauri wabobezi, wanataaluma na walimu wastaafu katika sekta ya nyumba, ardhi na makazi wameelezwa watahitajika zaidi kuelekea utekezaji wa Dira 2050 na kutakiwa kujiandaa kwa hilo kuanzia sasa.