Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa aliyekuwa Mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo alifariki kutokana na majeraha makubwa ya kupigwa yaliyoathiri kifua, tumbo na uti wa mgongo baada ya ajali ya barabarani eneo la Karai kwenye barabara ya Nakuru–Nairobi. #HabariZaJambo #KituoChaWakenya