Waziri Sangu Aagiza Hatua Kali kwa Waajiri Wanaokwepa Kuwasilisha Michango NSSF*

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amewaagiza viongozi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya waajiri wa sekta binafsi wanaoshindwa kuwasilisha michango ya wafanyakazi wao kwa wakati, akisisitiza kuwa kitendo hicho kinawanyima wafanyakazi haki zao za msingi […] The post Waziri Sangu Aagiza Hatua Kali kwa Waajiri Wanaokwepa Kuwasilisha Michango NSSF* appeared first on Global Publishers .