Africa leo imetangaza makubaliano na SpaceX ya kuanzisha huduma ya satelaiti ya Starlink Direct-to-Cell katika masoko yake yote 14 yanayohudumia wateja milioni 174. Kupitia ushirikiano huu, wateja wa Airtel Africa wenye simu janja zinazokubaliana na teknolojia hii, katika maeneo yasiyo na mtandao wa ardhini (terrestrial network), wataweza kupata mawasiliano ya mtandao kupitia Starlink, ambayo ni …