Mkurugenzi wa Utawala wa Kampuni ya Superdoll, Jamal Bayser, amekipongeza Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kwa kufanya vizuri katika uzalishaji wa wahitimu wenye ujuzi na ubora unaokidhi mahitaji ya soko la ajira, hususan wale wanaojiunga na kampuni mbalimbali ya usafirishaji nchini. Bayser alitoa pongezi hizo jana jijini Dar es Salaam wakati wa Kongamano la …