Uboreshaji Viwanja vya ndege Waivutia Auric Air, yazindua safari mpya Dar – Kahama na Kahama- Mwanza

Uboreshaji wa viwanja vya ndege unaoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeivutia Kampuni ya Usafiri wa Anga ya Auric Air, ambayo imeanzisha rasmi safari mpya kati ya Kahama na Dar es Salaam, pamoja na Kahama na Mwanza. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa kampuni …