RAS MORO: BIMA YA AFYA KWA WOTE YAHITAJI HUDUMA BORA NA UADILIFU

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, amewataka watumishi wa sekta ya afya na sekta nyingine mkoani humo kuacha tabia ya ubabaishaji na kutoa huduma kwa weledi, uwajibikaji na uadilifu kwa wananchi. Dkt. Mussa ametoa agizo hilo wakati akifungua mafunzo ya utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote yaliyowakutanisha Waganga Wakuu wa […] The post RAS MORO: BIMA YA AFYA KWA WOTE YAHITAJI HUDUMA BORA NA UADILIFU appeared first on Jambo TV Online .