Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, wameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” iliyokita kambi jijini Cairo nchini Misri. Waziri Kombo na Profesa Kabudi, wameitembelea kambi hiyo na kuikabidhi bendera ya Taifa, ikiwa ni … The post Kombo, Kabudi watembelea kambi stars first appeared on HabariLeo .