Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema utulivu uliopo nchini ni matokeo ya utii wa wanachama wa chama hicho kwa viongozi wao.