AMRI YA KUKAA NDANI KUANZA YA SAA 12 JIONI BAADA YA OKT. 29 ILIKUWA HALALI?/ KESI YAENDELEA

Kesi ya kuhoji uhalali wa tamko/ katazo la Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) lililopiga marufuku watu kutoka nje kufuatia maandamano yaliyozaa vurugu zilizopelekea uharibifu wa mali za umma na binafsi, majeruhi na vifo imeendelea leo, Alhamisi Desemba 18.2025 chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Immaculata Banzi, Mwanabaraka Mnyukwa na […] The post AMRI YA KUKAA NDANI KUANZA YA SAA 12 JIONI BAADA YA OKT. 29 ILIKUWA HALALI?/ KESI YAENDELEA appeared first on Jambo TV Online .