Tanzania iko katika nafasi nzuri ya kutengeneza fedha za kigeni ikiwa itawekeza zaidi katika uzalishaji wa mawese kwa ajili ya soko la ndani na nje ya nchi.