Airtel Africa imetangaza rasmi kuingia katika ushirikiano wa kimkakati na kampuni ya SpaceX ili kuanzisha huduma ya mawasiliano ya satelaiti moja kwa moja kwenye simu janja, inayojulikana kama Starlink Direct to Cell, katika nchi 14 barani Afrika ambako Airtel inahudumia zaidi ya wateja milioni 174. Kupitia ushirikiano huu wa kihistoria, wateja wa Airtel Africa wenye […] The post AIRTEL AFRIKA NA SPACEX WAINGIA UBIA WA KIMKAKATI KUUNGANISHA SATELAITI KWA SIMU appeared first on Jambo TV Online .