TIMU ya Kombaini ya Makamba ya Burundi na Kombaini ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ya mkoa Kigoma, Tanzania zinatarajia kumenyana katika mchezo wa fainali ya mashindano ya ujirani mwema ya timu za mikoa ya Burundi na kombaini za wilaya za mkoa wa Kigoma. Kombaini ya Makamba ndiyo iliyokuwa ya kwanza kuingia fainali baada ya kuifunga … The post Kigoma Ujiji, Makamba kucheza fainali ujirani mwema first appeared on HabariLeo .