Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi, wameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kambini jijini Cairo nchini Misri. Waziri Kombo na Profesa Kabudi, wameitembelea kambi hiyo Desemba 17, 2025 na kuikabidhi bendera ya Taifa, ikiwa […] The post Waziri Kombo na Prof. Kabudi Wakabidhi Bendera ya Taifa kwa Taifa Stars Cairo appeared first on Global Publishers .