WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua Jengo la Ofisi ya Kituo cha Forodha kwa Pamoja-Kasumulu ambacho kiliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini. […] The post Waziri Mkuu Akagua Athari Kwenye Jengo La Ofisi Ya Kituo Cha Forodha Kwa Pamoja Kasumulu appeared first on Global Publishers .