Mapato ya utalii yaongezeka kwa asilimia sita Serengeti

Hali ya utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imezidi kuimarika, huku mapato yake yakiongezeka kwa asilimia sita katika kipindi cha Oktoba mosi 2025 hadi Desemba 14, 2025.