Haya ndio matarajio mkutano wa kimataifa wa tiba asilia

Mkutano wa pili wa Kimataifa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu tiba asilia, unaoandaliwa kwa ushirikiano na Serikali ya India, unatarajiwa kutangaza mipango ya kisayansi na ahadi mpya zinazolenga kuharakisha utekelezaji wa Mkakati wa Kimataifa wa WHO wa Tiba Asilia wa mwaka 2025–2034.