Watafiti na wasaidizi wa kisheria wametakiwa kuhakikisha wanakusanya taarifa sahihi ili kupata matokeo halisi yatakayosaidia kuboresha utekelezaji wa haki za binadamu nchini.