Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amezungumza na wakazi wa Kiwira mkoani Mbeya ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi ambazo zimeathirika na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. SOMA: Dk. Mwigulu akagua uharibifu wa vurugu Dk Mwigulu amewaeleza wananchi hao kuwa kila Mtanzania … The post Dk Mwigulu: Amani ni msingi wa maendeleo first appeared on HabariLeo .