Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewaruhusu waleta maombi kufungua kesi ya msingi, katika shauri namba 30210/2025 linalohusu kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuteua Tume Huru ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani nchini yaliyotokea Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata Hata hivyo, licha ya […] The post SERIKALI YAKWAA KISIKI TUME YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA OKT. 29/ UCHUNGUZI KUENDELEA appeared first on Jambo TV Online .