Shilole Arudisha Huduma ya Shishifood Dar, Awasamehe Waliochoma Mgahawa Wake – Video

Baada ya kutangaza kurejesha huduma ya Shishifood kwa njia ya delivery ndani ya mkoa wa Dar es Salaam, Mwanamuziki na muigizaji wa filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka na kusema kuwa amewasamehe vijana waliohusika kuchoma mgahawa wake ulioharibiwa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam, Shilole amesema licha ya tukio hilo kumuumiza […] The post Shilole Arudisha Huduma ya Shishifood Dar, Awasamehe Waliochoma Mgahawa Wake – Video appeared first on Global Publishers .