Mikakati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalenga kuhakikisha makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake na watu wenye ulemavu yanashiriki na kunufaika na rasilimali zilizopo nchini. Katika kutekeleza azma hiyo, Mgodi wa Wachimbaji Wadogo wa Msasa uliopo wilayani Bukombe umeendelea kuwa mfano kwa kutoa fursa kwa watu wenye ulemavu kushiriki shughuli za uchimbaji, pamoja […] The post WENYE ULEMAVU WANUFAIKA MGODI WA MSASA appeared first on Jambo TV Online .