Tume ya Madini, TRA kuongeza ufanisi ukusanyaji maduhuli

TUME ya Madini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zimeimarisha ushirikiano wao kwa lengo la kuongeza ufanisi na tija katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo, hususan katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na shughuli za madini. Akifungua kikao kazi cha kuhuisha Mkataba wa Makubaliano (MoU) leo Desemba 18, 2025 Ofisi za … The post Tume ya Madini, TRA kuongeza ufanisi ukusanyaji maduhuli first appeared on HabariLeo .