Tume ya madini,TRA kuongeza ukusanyaji maduhuli

TUME  ya Madini kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zimeimarisha ushirikiano wao kwa lengo la kuongeza ufanisi na tija katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi hizo, hususan katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo na shughuli za madini. The post Tume ya madini,TRA kuongeza ukusanyaji maduhuli first appeared on HabariLeo .