Wamiliki vituo vya mafuta Mbeya watakiwa  kukagua pampu kabla ya kutoa huduma

Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Mbeya imesema haitosita kuchukulia hatua wamiliki wa vituo vya mafuta watakaobainika kushindwa kukagua pampu kabla ya kutoa huduma kwa mlaji wa mwisho.