Balozi wa Palestina anayeiwakilisha nchi yake Tanzania, Salim Siam mapema leo Alhamisi Desemba 18, 2025, amefanya ziara katika Ofisi za Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DAR-PC) akiweka wazi kwamba sasa wamefungua rasmi milango ya ushirikiano na Klabu hiyo kongwe nchini na waandishi wa habari kwa ujumla. Akiwa katika ziara hiyo …