Daktari jela kuwaua wagonjwa

DAKTARI mmoja wa Ufaransa, Frédéric Péchier (53), amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuwadunga sindano za sumu wagonjwa 30 kwa makusudi, ambapo wagonjwa 12 walifariki dunia. The post Daktari jela kuwaua wagonjwa first appeared on HabariLeo .