Ruksa Tume kuchunguza matukio ya Oktoba 29 kupingwa mahakamani

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeridhia kufunguliwa kwa shauri la mapitio ya mahakama kupinga uhalali wa Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.