SERIKALI imesema maboresho ya sera na sheria katika sekta ya viwanda na biashara yameanza kuleta matokeo chanya, yakichochea ongezeko la uzalishaji, ajira na ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na nje ya nchi. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 18, 2025 jijini Dar es Salaam, Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith …