Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kudhihirisha dhamira yake ya dhati katika kukuza ubora wa elimu ya juu na kuibua vipaji vya kitaaluma baada ya kuwakabidhi zawadi wanafunzi bora wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) jijini Dar es Salaam, waliobobea katika masomo mbalimbali ya miliki kuu kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Hafla hiyo ya […] The post NHC YAKABIDHI ZAWADI KWA WAHITIMU CHUO CHA ARDHI appeared first on Jambo TV Online .