Mheshimiwa Judith Kapinga, Waziri wa Viwanda na Biashara amezihimiza kampuni zinazofanya biashara nchini kuendelea kuhuisha taarifa zao kwa Msajili wa Kampuni ili zisaidie kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara nchini, mifumo ya usajili na utoaji wa leseni, sheria zinazosimamiwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na kuweza kushirikiana na Taasisi nyingine hususan Mamlaka […] The post Mhe Kapinga Azihimiza Kampuni Kuhuisha Taarifa Kwa Msajili Wa Kampuni appeared first on Global Publishers .