Mkakati kuwezesha biashara mitandaoni waja

Serikali iko kwenye mkakati wa usimamiaji wa biashara mtandaoni ikiwa ni moja ya njia inayolenga kuleta mageuzi ya biashara kidijitali.