Ukosefu wa vyoo watesa makanisa, ofisi za vijiji Maswa

Baadhi ya makanisa pamoja na ofisi za watendaji wa vijiji katika Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, zinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa vyoo, hali inayohatarisha afya za wananchi na usalama wa mazingira ya jamii.