SBL na Bolt Washirikiana Kusaidia Watanzania Kusherehekea kwa Usalama Msimu wa Sikukuu

Pale Tanzania inavyoingia katika msimu wa sikukuu, ambapo safari huongezeka na sherehe kudumu hadi usiku wa manane, Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kwa kushirikiana na Bolt wametangaza ushirikiano maalum unaolenga kuwahamasisha Watanzania kufanya maamuzi sahihi na salama, baada ya kusherehekea na kupunguza ajali zinazotokana na kuendesha gari ukiwa umelewa. Ushirikiano huu, uliozinduliwa jijini Dar es Salaam, unaunganisha kampeni ya unywaji wa kuwajibika ya SBL inayojulikana kama Wrong Side of the Road (WSOTR) na huduma za usafiri za Bolt, ili kufanya usafiri salama kuwa rahisi kupatikana katika kipindi chenye msongamano mkubwa wa magari barabarani. Mpango huu utaendeshwa katika kipindi chote […] The post SBL na Bolt Washirikiana Kusaidia Watanzania Kusherehekea kwa Usalama Msimu wa Sikukuu appeared first on SwahiliTimes .