Mahitaji soko la nyumba na makazi, ARU kuongeza kozi mpya 21

Kutokana na kuongezeka na kukua kwa soko katika sekta ya ardhi, nyumba na makazi, Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), kinatarajia kuongeza kozi nyingine 21 kuanzia mwaka 2026.