Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekutana na kero mbalimbali zilizowasilishwa na baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Mbeya, zikiwamo changamoto katika mfumo wa utoaji wa haki, upatikanaji wa huduma bora za afya na maji.