Serikali kuwachukulia hatua wavamizi wa malisho ya mifugo
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ng’wasi Kamani, ameonya tabia ya baadhi ya wakulima na wafugaji kuendesha shughuli za kilimo katika maeneo maalumu yaliyotengwa kisheria kwa ajili ya malisho ya mifugo.