Uzinduzi wa teknolojia mpya ya Voice over

Tanzania leo imezindua rasmi teknolojia mpya ya Voice over LTE (Airtel VoLTE), hatua ambayo inaendelea kuonesha dhamira ya Airtel ya kuendelea  kutoa huduma za mawasiliano ya kisesa yaani BILA CHENGA kwa wateja wake nchini kote.  Kupitia teknolojia ya Airtel VoLTE, wateja wa Airtel walio na simu janja zenye uwezo wa 4G na 5G wataweza kupiga …