Ujumbe wa Papa Leo XIV Siku ya Amani Duniani 2026, Kuhusu Vita, Silaha na Amani ya Kweli

Ujumbe wa Baba Mtakatifu Leo XIV Siku ya 59 ya Amani Duniani – 1 Januari 2026 Kaulimbiu: Kuelekea amani “isiyo na silaha na inayopokonya silaha” 1. “Amani iwe nanyi” Baba Mtakatifu anakumbusha kuwa salamu ya Yesu Mfufuka “Amani iwe nanyi” si maneno tu, bali ni nguvu hai inayobadilisha mioyo na ulimwengu. Amani ya Kristo ni […] The post Ujumbe wa Papa Leo XIV Siku ya Amani Duniani 2026, Kuhusu Vita, Silaha na Amani ya Kweli appeared first on Global Publishers .