Airtel yaja na Airtel VoLTE, wateja sasa kuperuzi na kuongea LIVE BILA CHENGA

Dar es Salaam, December 17, 2025, KAMPUNI ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi teknolojia mpya ya Voice over LTE (Airtel VoLTE), hatua ambayo inaendelea kuonesha dhamira ya Airtel ya kuendelea kutoa huduma za mawasiliano ya kisesa yaani BILA CHENGA kwa wateja wake nchini kote. Kupitia teknolojia ya Airtel VoLTE, wateja wa Airtel walio na simu […] The post Airtel yaja na Airtel VoLTE, wateja sasa kuperuzi na kuongea LIVE BILA CHENGA appeared first on Global Publishers .