ARUSHA; MKURUGENZI Idara ya Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Soter Salema amesema kampuni hiyo inajivunia safari ya mageuzi ya teknolojia ikiwemo utunzaji wa nyaraka, kumbukumbu za picha na historia mbalimbali. Salema amesema hayo leo jijini Arusha mara baada ya Naibu Waziri wa Fedha, Mshamu Munde kutembelea banda la maonesho la … The post TSN yachomoza Mkutano Wataalamu Ununuzi na Ugavi first appeared on HabariLeo .