Diplomasia ya uchumi kuitangaza Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar ina fursa nyingi za kiuchumi, hususan katika sekta ya Uchumi wa Buluu na uwekezaji, hivyo amewahimiza viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutumia majukwaa ya kimataifa kuitangaza Zanzibar ili inufaike zaidi kiuchumi. The post Diplomasia ya uchumi kuitangaza Zanzibar first appeared on HabariLeo .