NBS–USANGU yazijengea uwezo kamati za vijiji kutatua malamiko

IRINGA: Mradi wa NBS–USANGU umeendesha mafunzo ya siku tano kwa Kamati za Kushughulikia Malalamiko za Vijiji katika maeneo ya utekelezaji wa mradi huo, kwa lengo la kuimarisha haki, uwazi na ufanisi katika kushughulikia changamoto za wananchi. Mafunzo hayo yamefanyika Rujewa, wilayani Mbarali, kuanzia Desemba 15 hadi 20, yakihusisha wajumbe kutoka vijiji vinavyonufaika na mradi. Mradi wa NBS–USANGU (Nature-Based … The post NBS–USANGU yazijengea uwezo kamati za vijiji kutatua malamiko first appeared on HabariLeo .