Dijitali yatajwa kiungo muhimu ujumuishi wa kifedha

Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga amesema matumizi ya teknolojia ya kidijitali na huduma za kifedha kwa njia ya simu ni chombo muhimu katika kuwezesha wanawake na vijana katika kuhakikisha maendeleo binafsi na ya Taifa.